Mchezaji wa kimataifa mrundi Saidi NTIBAZONKIZA(1/May/1987) ambaye anacheza nchini POLOGNE kwenye timu ya CRAKOVI CRAKO ameiyambiya safu yetu kwamba yupo tayari kuja kujiunga na kikosi cha timu ya taifa ya BURUNDI ambayo tayari imeya anza mazoezi yakujinowa na kujianda na match ya mchujo zidi ya ZIMBABWE hapo tarehe 29/February jijini Bujumbura.Ametwambiya:”Niko tayari kuja kuipa heshma timu yangu ya taifa sema yatakayo jitokeza baadae sijuwi.”Aliongeza nakusema:”Nimefurahishwa sana na ushindi wa Lydia Ludic Burundi Academic juzi wa bao 3 kwa 0 zidi ya Atletico semu ya Guinea Equatorial,inatupa motisha na changamoto na sisi kufanya vyema tukiwa kwetu.
“Kweli mvumilivu hula mbivu kijana huyo hana wivu tena,ni msikivu mnyenyekevu na pia mtulivu anaitwa Ntibazonkiza Saidi kama leo anafaidi nikutokana na zake juhudi anapenda dini yake sana nakuskiliza ushauri kutoka kwa wazee mpaka vijana sio siri hana kiburi nawala simpenda shari.Kwa sifa zake nzuri kila alichofanya watu walimkubali,duwa zake kwa mungu zikafika,milango ya neema ikafunguka ulaya mpaka Afrika anakubalika mola wake bado hajamtupa ndomana anapata kile anachokitaka.Ikumbukwe ya kwamba wachezaji 26 ndani yao 13 toka nchini na 13 toka sehemu mbali mbali ulimwenguni ndio wako wanajinowa nakujiandaliya na match hiyo muhimu sana kwa Burundi kama alivyo sema ADEL AMROUCH,coach mkuu wa Intamba alipo endesha mkutano na waandishi wahabari kwenye kikao cha shirikisho la mpira nchini BURUNDI(F.F.B).
- ORODHA YA MECHI ZA KOMBE LA RAISI NCHINI BURUNDI...
- MSIMAMO WA PRIMUS LIGUE DARAJA LA KWANZA NCHINI BURUNDI...
- Des points qu’il faut signaler pour le football Burundais...
- Message ouvert au Ministre Burundais Jean-Jacques Nyenimigabo
- Burundi ilijiunga na Ulimwengu kusheherekeya siku kuu ya kazi nawafanyakazi hiyi leo...


