MOWZEY NA WEAZEL….WAFUNGIWA CLUB…UGANDA..!

By adou
Posted on 07 Jul 2011 at 9:08am

 



Beef iliyokua kati ya Artist toka Goodlyfe Crew na uongozi wa club maarufu nchini Uganda ya Rouge umefikia hatua mpya. Ilianza kwa mmoja wa wamiliki wa Club Rouge,Spear Abowe kuwataka Moze Radio na Weasel TV wamuuzie Talk and Talk album after party kwa shs milioni 3 za Uganda na kukataa na kuamua kumuuzia mmoja wa wamiliki wa Club Silk….Sekyanzi kwa shs milioni 3 tu za Uganda, So kwa sasa Club Rouge imeamua kutopiga nyimbo zao club hiyo na ile offer ya waliokuwa wanapata ya kuingia bure na VIP treatment imefutwa…!

 

 

Posted by BIGMAN KIM at Wednesday, July 06, 2011 0 comments

 


Read Also

Leave a Comment


Fatal error: Call to undefined function show_subscription_checkbox() in /home/content/p/b/a/pbagenzi/html/blog/wp-content/themes/redcarpet/comments.php on line 139